1.Kanisa Katoliki lina haki asilia, inayojitegemea toka madaraka ya dola, ya kupata umiliki, kuweka, kusimamia na kuhamisha umiliki wa mali za kidunia, katika kufikia malengo yake maalumu
2. Malengo hayo maalumu kimsingi ni kuratibu ibada takatifu,kusimamia matunzo stahiki kwa waklero na wahudumu wengine, na kutekeleza shughuli za utume mtakatifu na matendo ya huruma hasa kwa wahitaji.
Rej Sheria za kanisa kanoni ya 1254….1257