Education Department

Kanisa katoliki linatambua kwamba kila binadamu ana haki ya msingi ya kupata elimu makini bila kujali itikadi za kisiasa, kidini, kijinsia, kabila au taifa.

Education Director

Jimbo la Sumbawanga lina jumla ya taasisi 17 za elimu ikiwa shule za awali ni 2 Msingi ni 3, sekondari ni 6, seminari 1, chuo cha ualimu 1, vyuo vya ufundi ni 3,  na chuo cha kilimo na mifugo 1.

Utangulizi

  • Ni ukweli usiopingika kuwa kanisa Katoliki Tanzania limekuwa kati ya wadau wakubwa wa maendeleo katika sekta ya elimu kabla na baada ya uhuru katika taifa letu. Mchango wa kanisa Katoliki katika utoaji wa huduma ya elimu umekuwa kuanzia shule za chekechea, awali, msingi, sekondari, vyuo vya ufundi stadi hadi elimu ya juu.
  • Kanisa katoliki linatambua kwamba kila binadamu anahaki ya msingi ya kupata eelimu makini bila kujali itikadi za kisiasa, kidini, kijinsia, kabila au taifa. Lengo kuu la elimu Katoliki ni kumfunda mtu mzima; kiakili, kimwili, kiroho, kijamii na kimaadili, kwa kufanya hivyo, shule za kikatoliki zinawaanda vijana wa kike na kiume kwa kesho iliyo bora zaidi
  •  
mwalembe

Rev.Fr. Donatus Daud Mwalembe

-Mkurugenzi wa Elimu Jimbo la Sumbawanga.

Orodha ya Taasisi za Elimu

1. Shule za Chekechea na Awali (NURSERY SCHOOLS)

Jumla ya Shule za Awali ni 4

2. Shule za Msingi (PRIMARY SCHOOLS)

Jumla ya Shule za Msingi ni 3

3. Shule za Sekondari (SECONDARY SCHOOLS)

Jumla ya Shule za Sekondari ni 6

4. Shule ya Seminari (SEMINARY)

Jumla ya Shule za Seminari ni 1

5. Vyuo vya Ufundi, Kilimo na Ufugaji (VTC SCHOOLS)

Jumla ya Vyuo vya ufundi ni 4 na , chuo cha Kilimo na Ufungaji ni 1.

6. Elimu ya Juu (COLLEGIES)

chuo cha ualimu 1

small efforts make big change