Pd. Norasco Charles OFM Cap

TAZARA PARISH
S.L.P 257 – TUNDUMA Ilianza 14/04/2022
Msimamizi wa Parokia ni Mt. Teresia wa wa Mtoto Yesu
Sikukuu ni 01/10
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km 232.
+255 655 630684

Wakristo Waanzilishi wa Parokia: parokia imezaliwa kutoka parokia ya Familia takatifu tunduma, waamini wa maendeo haya kwa kuzingatia hitaji na umbali waliomba kupewa hadhi ya parokia na baba askofu akapokea baada ya mchakato kukamilika na ilizinduliwa rasmi tarehe 14.04.2022 na Mha Askofu Beatus C. Urassa na Paroko wa kwanza ni Pd Nolasco Charles OFM Cap

Vigango

  1. Sogea,
  2. Chapwa,
  3. Mpande,
  4. Namole,
  5. Chiwezi,
  6. Msamba,
  7. Niumba na
  8. Chindi.

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2