Pd. Vincent Kasana - Paroko

FAMILIA TAKATIFU
S.L.P 10 – Sumbawanga, Tanzania – Ilianza 1990
Msimamizi wa Parokia ni Familia Takatifu.
Sikukuu ni Dominika ya 1 baada ya Noeli
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km 3.
+255 763 43 7091

Ilianzishwa Mwaka.1990 na African Missionary Fathers
Parokia Ina Vigango 14, Jumuiya 145 Takribani Waumini 17,000.
Paroko Ni Pd. Vincent Kassana, Wasaidizi; Pd.Peter Changala Na Pd. Boniface Sichalwe.
Parokia Ipo Kusini Mashariki Mwa Mji Wa Sumbawanga.

Kuhusu Parokia

Kuannzishwa kwwa Parokia ya Familia Takatifu Kizwite

Mnamo mwaka 19990

Mapadri Waliohudumia Parokia ya Kizwite

  1. Pd. Luekewille Walter M,Afr

Wakristo Waanzilishi wa Parokia

Vigango

  1. Kizwite Majengo
  2. Kizwite Tomas More
  3. Ibrahimu-Chanji “A”
  4. Yuda Thadey Chanji “B”
  5. Anton wa Misri – Abate Chanji “C”
  6. Matias Mlumba Soko Dogo
  7. Maria Mama wa Mungu Kisiwani “B”
  8. Stephano Sokolo “A”
  9. Petro Sokolo “B”
  10. Padre Pio Majumba Sita
  11. Benedicto wa Nusia Kisiwani “A”
  12. Andrea Mtume – Utengule
  13. Luka Mwinjili – Isesa
  14. Damiano – King’ombe 

WASEMINARI WA KUBWA

1.       FRT. IGNAS MSALILA

2.       FRT. AIDAN CHIMAZI

3.       FRT. ABRAHAMU NDEGEULAYA

4.       FRT. MARTINI KACHELE

5.       FRT. ISAACK ZUMBA

6.       FRT. DITRIC MAKALI

7.       FRT. BENEDICT KAONJELA CR (CONGREGATION OF RESURRECTION)

8.       FRT. LUKAS  VEDASTUS

Mapadre na Watawa Wazawa

Mapadre wazawa

  1. FORTUNATUS KAOZYA
  2. FROLENSI ISUBILA
  3. GEOFREY KITAYA
  4. NICODEMUS KISONGA ( C.S.C)
  5. JULIUS LYELA (JIMBO KUU LA DODOMA)
  6. FILBERT NKANGA (CONSOLATA)
  7. MOSES KISASE
  8. VENANCE MBAJI

WATAWA WA KIKE NA KIUME                                   

  1. ODETHA CHANGALA (MMMA)
  2. VIRGINIA MSUMENO (MMMA)
  3. YOSEFA ISUBILA
  4. ROSE KAKWAYA
  5. AGNES MWEUPE OSB
  6. LUCY
  7. ELIZABETH KANJA(MMMA)
  8. LEOKADIA LUKANDA OSB
  9. VAILETH SEVERIN SIKAPITE OSB
  10. TERESA NKAMBI OSB
  11. SINDANI – WADADA WADOGO-DAR
  12. CHRISTINA LAURENT SIMSOKWE SJC (SISTERS OF ST. JOSEPH CLUNY)
  13. LYDIA MAGOTI MASINDE( MARIA IMMACULATA SISTERS)
  14. PETER SHANEL OSB
  15. ONESMO OSB
  16. JESTINA MWANAKULYA (MMMA)
  17. ELIANA MWANAKULYA (MMMA)

Et ligula sit quam, sapien lorem. Nec risus lorem vestibulum mi facilisis. Tincidunt urna accumsan nec, risus fermentum.

Senectus erat sem tincidunt mi duis vehicula, est diam molestie.
Mauris in ut eget wisi, et mollis bibendum nulla, amet malesuada.