Pd. Urbano Mwanauta OSB - Paroko

KATE PARISH
S.L.P 34 Sumbawanga – Ilianza 1906
Msimamizi wa Parokia ni Mt. Anna.
Sikukuu ni tarehe 27/07
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km 52.

Kuhusu Parokia

Kuanzishwa kwa Parokia ya Kate

Ilianza Mnamo mwaka 1906

Mapadri Waliohudumia Parokia ya Kate Toka 1906 -2023

Gilberto Mwanandota, Bonifasi Singolo, Lui Silanda na Chenga Revocatus

Waseminari naMakatekista

Waseminari wakuu 1, yupo theology 1na wadogo 4.
Makatekista 31

Vigango

Parokia ina vigango 16 vya nje na 3 vya ndani ya parokia hivyo kufanya jumla vigango 19, kama  vifuatavyo:

 

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2