Orodha ya Shule za Seminari ni moja mpaka sasa

1. St. Joseph Kaengesa Seminary

Imeanzishwa: Shule yetu inaitwa “St. Joseph’s Kaengesa Seminary. Hata hivyo, jina la usajiri wa Seminari ni “Kaengesa Seminary”. Namba ya usajiri ni S 074. Seminari yetu ni shule ya bweni. Seminari yetu ilifunguliwa mwaka 1956, ikiwa na madarasa kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. Baadaye mwaka 1983, kulianzishwa masomo ya kidato cha tano na kidato cha sita.