Kuhusu Parokia ya Wampembe
Parokia ya Wampembe, msimamizi Mt. Mikael Malaika mkuu ilinzishwa tarehe 2/8/2021 sherehe ya parokia 29/09 Malaika wakuu. Umbali toka Swanga ni Km 130
Simu: +255.
Email:dkazonde@yahoo.co.uk /kazonded@gmail.com
Pd. Demetrius Kazonde-Paroko
Parokia Ilianza 2/8/2021 Ina miaka 2 na miezi 4 Kutoka parokia Mama yaanki Parokia ya Kala, Wampembe ilikuwa moja ya vigango vya parokia ya Kala baada ya kuona hitaji na sababu za kichungaji ili kuwa karibu na waamini, ndipo baada ya kuangalia igezo vyote vya kukipandisha kigango cha kala kuwa parokia imetimia Mhashamu baba Askofu Beatus Urassa askofu jimbo aliitangaza kuwa parokia na kuizindua rasmi tarehe 2.08.2021 vigango ni 14 Makatekista ni 22
Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2
Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2