Tafakari Dominika ya 29 ya Mwaka B wa Kanisa: Unyenyekevu!
Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku ya 98 ya Kimisionari Ulimwenguni Dominika tarehe 20 Oktoba 2024 unanogeshwa na kauli mbiu “Enendeni na alikeni kila mtu kwenye Karamu” (Rej. Mt. 22:9) Baba Mtakatifu anakazia: Umuhimu wa kutoka na kualika na kwamba, kila Mkristo anawajibika. Kwenda arusini ni mwelekeo wa kieskatolijia na kiekaristi wa…