Tafakari Dominika 15 ya Mwaka B wa Kanisa: Toba, Faraja Na Wongofu wa Ndani
|

Tafakari Dominika 15 ya Mwaka B wa Kanisa: Toba, Faraja Na Wongofu wa Ndani

Mama Kanisa katika masomo ya dominika hii anatukumbusha kuwa kwa Sakramenti ya Ubatizo na kipaimara sisi sote tumeitwa kuihuburi Injili kwa kuishi ukristo wetu vyema sio kwa sheria za maumbile bali kwa kuwa viumbe vipya ndani ya Kristo na kuona fahari juu ya Msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo ambao kwao tumekombolewa. Hii ni changamoto…

Mapadre Wekezeni Zaidi Katika Huduma Kwa Wazee na Vijana Huko Maparokiani

Mapadre Wekezeni Zaidi Katika Huduma Kwa Wazee na Vijana Huko Maparokiani

Papa Francisko na Mapadre 160 kutoka Jimbo kuu la Roma, hivi karibuni walifanya mazungumzo ya faragha Chuo Kikuu cha Kipapa cha Wasalesian wa Don Bosco, Roma. Tema: Ushuhuda wa ukarimu Parokiani; Ulinzi na tunza ya wazee na vijana wanaoogelea katika changamoto za maisha; biashara haramu ya silaha, vita na masuala ya kisiasa; malezi na makuzi…

Waamini Walei na Ujenzi wa Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushirika na Utume!

Waamini Walei na Ujenzi wa Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushirika na Utume!

Baba Mtakatifu Fransisko, anakazia ukuhani wa waamini wote; umuhimu wa waamini kushiriki kikamilifu Sakramenti za Kanisa; Majadiliano ya kidini, kiekumene na kitamaduni; ari na mwamko wa kimisionari pamoja na umuhimu wa waamini walei kuwa ni chachu ya uinjilishaji na utakatifu kwa njia ya ushuhuda wa maisha, kama kielelezo makini cha imani tendaji! Umoja, upendo na…

Waraka Kwa Maparoko Wote Duniani: Maparoko Kwa Ajili ya Sinodi: Ujenzi wa Kanisa la Kimisionari na Kisinodi

Waraka Kwa Maparoko Wote Duniani: Maparoko Kwa Ajili ya Sinodi: Ujenzi wa Kanisa la Kimisionari na Kisinodi

Baba Mtakatifu katika Waraka wake kwa Maparoko anakazia: Utume wa Maparoko katika ujenzi wa Kanisa la Kimisionari na Kisinodi; Umuhimu wa kumwilisha mapaji yao kwa ajili ya huduma; Maparoko wajifunze Sanaa ya kufanya mang’amuzi ya pamoja kwa kujikita katika wongofu katika Roho Mtakatifu, washirikiane na Maaskofu wao katika ujenzi wa udugu na kwamba, mchango wao…