PALIPO CHUKI LETA AMANI
|

Jubilei ya Miaka 800 ya Madonda Matakatifu ya Mt. Francisko wa Assisi

Baba Mtakatifu Francisko Ijumaa tarehe 5 Aprili 2024 amekutana na kuzungumza na Jumuiya ya Ndugu Wadogo wa La Verna na wale wanaotoka Kanda ya Toscana, kama sehemu ya kumbukizi ya miaka mia nane tangu Mtakatifu Francisko wa Assisi alipobahatika kupewa Madonda Mtakatifu mwilini mwake. Hii ilikuwa ni tarehe 15 Septemba 1224, yaani miaka miwili kabla…

Ufufuko wa Yesu ni Kilele cha Ukweli wa Imani Katika Kristo Yesu
|

Ufufuko wa Yesu ni Kilele cha Ukweli wa Imani Katika Kristo Yesu

Ufufuko wa Kristo Yesu ni kilele cha ukweli wa imani ya Kikristo, ambayo jamii ya kwanza ya wakristo iliusadiki na kuuishi kama kiini cha ukweli.  (SumbawangaMedia) Na. Padre Joseph Herman Luwela-Kutoka Vatican Rome Ufufuko wa Kristo Yesu ni kilele cha ukweli wa imani ya Kikristo, ambayo jamii ya kwanza ya wakristo iliusadiki na kuuishi kama…

Ijumaa Kuu: Utukufu wa Kristo Yesu Umetundikwa Msalabani

Ijumaa Kuu: Utukufu wa Kristo Yesu Umetundikwa Msalabani

Ni kielelezo cha Mti wa Ushindi wa Kristo dhidi ya dhambi na mauti, ndiyo maana, waamini wanapata fursa ya kuweza kuabudu Msalaba wa Kristo Yesu. Na Padre-Joseph Herman Luwela-Vatican-2024 Ijumaa kuu Mama Kanisa anaadhimisha Mateso na Kifo cha Yesu, Mtumishi mwaminifu wa Mungu aliyetabiriwa na Manabii katika Agano la Kale. Ni Mwana Kondoo wa Mungu…

Tafakari Dominika ya IV Kwaresima Mwaka B: Yesu Ni Nuru ya Uzima 2024-10-March

Tafakari Dominika ya IV Kwaresima Mwaka B: Yesu Ni Nuru ya Uzima 2024-10-March

Na Padre Joseph Herman Luwela, – Vatican.Roma-Italia Leo ni Dominika ya 4 ya Kipindi cha Kwaresima mwaka B. Katika Somo la Kwanza na Injili tutasikia Mungu akiwaonesha watu njia zake kwa namna mbalimbali. Lakini watu hao wanaonekana kutopokea kwa uwazi maelekezo hayo. Ili tuweze kumfuata Mungu aliye mwanga, ya faa tuzitambue njia zake na kuzifuata….

Tafakari Dominika ya Tatu Kwaresima Mwaka B: Nyumba ya Sala na Sadaka! 2024

Na Padre Joseph Herman Luwela, – Vatican. Nyumba ya Baba yangu ni nyumba ya sala, toba na wongofu wa ndani na sio genge la biashara huria!  Leo Kanisa linaadhimisha Dominika ya 3 ya Kipindi cha Kwaresima Mwaka B wa Kanisa. Himizo kubwa katika kipindi hiki cha Kwaresima ni toba na wongofu wa moyo na muunganiko…

Jumatano ya Majivu: Katekesi Kuhusu Kipindi cha Kwaresima.

Kipindi cha Kwaresima ni fursa ya kuamsha na kupyaisha ari na mwamko wa kimisionari, tayari kujisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu hadi miisho ya dunia. Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kuwakumbuka na kuwaombea wainjilishaji wote, ili waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wa kile wanacho amini, kufundisha…

KILA TAREHE 11.FEBRUARI KILA MWAKA NI SIKU YA WAGONJWA DUNIANI

Dominika ya Sita Ya Mwaka B wa Kanisa: Siku ya 32 ya Wagonjwa Ulimwenguni 2024 Maadhimisho ya Siku ya 32 ya Wagonjwa Ulimwenguni yananogeshwa na kauli mbiu “Si vizuri kwamba mwanadamu awe peke yake. Uponyaji wa wagonjwa katika kuponya mahusiano.” Baba Mtakatifu anaangalia vita kama gonjwa kubwa na la kutisha, uzee na upweke. Kumbe, kuna…

Tafakari Dominika ya Pili ya Mwaka B wa Kanisa: Utakatifu wa Maisha! 14.01.2024

Na. Pd Joseph Luwela-Vatican-Roma Utakatifu ni mchakato unaowawezesha waamini kuishi upendo katika utimilifu wake kadiri ya nguvu na mwanga wa Roho Mtakatifu. Maisha ya kila mwamini yawe ni kielelezo cha utume kutoka kwa Kristo Yesu anayetaka kuwaletea waja wake mabadiliko katika maisha, licha ya udhaifu na mapungufu yao ya kibinadamu, daima wakijitahidi kuambata upendo wa…

TAREHE 10 JANUARI 2024 JIMBO LIMEPATA ZAWADI YA MASHEMASI 5, KATIKA KANISA LA KIASKOFU EPIFANIA SUMBAWANGA

Matukio Katika Picha ni wakati wa adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ya kutolewa kwa Daraja ya Ushemasi iliyofanyika katika Parokia ya Epiphania Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Sumbawanga, misa iliyoadhimishwa na Mhashamu Beatus Christian Urassa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga. waaliowekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Ushemasi Jimboni Sumbawanga hii leo ni pamoja na; ▪️Shemasi…

Sherehe ya Tokeo la Bwana: EPIFANIA “Kristo Yesu Mwanga wa Mataifa”

Na Padre Joseph Herman Luwela, – Vatican 06.Jan 2024 Mamajusi toka mashariki wamefika wakiwa na zawadi zao ambazo ni: dhahabu kujulisha kuwa huyu ni Mfalme, ubani kuwa huyu ni Kuhani na manemane kubashiri kifo. Mamajusi, kwa nyakati zile za kuzaliwa Yesu walikuwa ni watu wenye hekima na uwezo wa kutafsiri njozi ili kujua mambo yajayo…