Shule za Sekondary

Jumla ya shule za sekondari ni 6

Orodha ya Shule za Sekondari

1. St. Maurus Secondary school

Imeanzishwa:

Imeanzishwa:1. JINA LA SHULE: MSAKILA SECONDARY SCHOOL 2. NAMBA YA USAJILI: S0688 3. SHULE NI: BWENI TU 4. JINSIA WASICHANA NA MVULANA 5. MAWASILIANO: (SISTA) MKUU WA SHULE: 0766-795-109 MKURUGENZI ( PADRE): 0613-470-450 MAKAMU WA MKUU WA SHULE: 0747-529-636 MHASIBU : 0754009001

2. Msakila Secondary School

3. Laela Secondary school

Imeanzishwa:LAELA SECONDARY SCHOOL PARTICULARS Jina la shule:- LAELA SECONDARY SCHOOL. Mwaka wa kuanzishwa:- 1992. Namba ya usajili:- S503. Mmiliki:- JIMBO KATORIKI SUMBAWANGA Mkurugenzi:- BISHOP BEATUS URASSA Meneja: BISHOP BEATUS URASSA ALCP/OSS

4. St. Theresia Girl's Secondary school

Imeanzishwa: Mwaka wa kuanzishwa:- 2007. Namba ya usajili:- S2536. Mmiliki:- SHIRIKA LA MASISTA WA MARIA MTAKATIFU MALKIA WA AFRIKA (M.M.M.M.A). Mkurugenzi:- Sr. EDITRUDA MBEGU. Meneja: Sr. LUCY TENDEZA Anuani:- S.L.P 38 Namba ya simu ya mkuu wa shule:- 0755248837. Namba ya simu ya makamu wa mkuu wa shule:- 0764200620. Namba ya simu ya mhasibu wa shule:- 0755557315. Barua pepe:-st.theresiasecondary@yahoo.com. Aina ya shule:- Shule ya bweni pekee. Aina ya wanafunzi:- Wanafunzi wa kike tu

5. Mt. Karolo Boromeo secondary school,Tunduma.

Jina La Shule: Shule Ya Sekondari Mt. Karolo Boromeo
Namba Ya Usajili:S 5089
Kategori Ya Shule: Ni Shule Ya Bweni Kwa Jinsi Zote Yaani Wasichana Na Wavulana
Mawasiliano Kwa Utawala Wa Shule
Mkuu Wa Shule: 0766659974
Barua Pepe: Mtkaroloboromeo@Gmail.Com

Imeanzishwa:Tarehe 09.01. 2023, Jina la shule: Queen of africa Secondary school Namba ya usajili: s.5882 Mmiliki: shirika la Masista wa Maria Mtakatifu Malkia wa Afrika

6. Queen of Africa secondary school, Kaswepepe.