TAREHE 10 JANUARI 2024 JIMBO LIMEPATA ZAWADI YA MASHEMASI 5, KATIKA KANISA LA KIASKOFU EPIFANIA SUMBAWANGA

Matukio Katika Picha ni wakati wa adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ya kutolewa kwa Daraja ya Ushemasi iliyofanyika katika Parokia ya Epiphania Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Sumbawanga, misa iliyoadhimishwa na Mhashamu Beatus Christian Urassa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

waaliowekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Ushemasi Jimboni Sumbawanga hii leo ni pamoja na;

▪️Shemasi Godrick Paulo Mundewa kutoka Parokia ya Bikira Maria nyota ya Bahari- Kasanga

▪️Shemasi Ignas Frugence Msalila kutoka Parokia ya Familia Takatifu- Kizwite.

▪️Peter Anord Kisanko kutoka Parokia ya Mtakatifu Patrocus – Mpui.

▪️Shemasi Rafael Evance Feruzi kutoka Parokia ya Epiphania Kanisa Kuu.

▪️Shemasi Thomas Method Ntonto kutoka Parokia ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi – Makuzani.

Similar Posts