Ijumaa Kuu: Utukufu wa Kristo Yesu Umetundikwa Msalabani
Ni kielelezo cha Mti wa Ushindi wa Kristo dhidi ya dhambi na mauti, ndiyo maana, waamini wanapata fursa ya kuweza kuabudu Msalaba wa Kristo Yesu. Na Padre-Joseph Herman Luwela-Vatican-2024 Ijumaa kuu Mama Kanisa anaadhimisha Mateso na Kifo cha Yesu, Mtumishi mwaminifu wa Mungu aliyetabiriwa na Manabii katika Agano la Kale. Ni Mwana Kondoo wa Mungu…