Mkutano Mkuu wa Sinodi ya Maaskofu Tarehe 04/10/2023
Mkutano Mkuu wa Sinodi ya Maaskofu umeanza kwa kujikita katika mang’amuzi muhimu ya Kanisa la Sinodi. Hapa wajumbe wa Sinodi wakimsikiliza Baba Mtakatifu akiwahutubia katika Ukumbi wa Paul VI. 04.10.2023