HONGERA MASISTA WA MARIA MTAKATIFU MALKIA WA AFRIKA KWA JUBILEI 25,50 NA NADHIRI DAIMA.
katika picha ni Masista wa , Jubilei ya miaka 25 ya Utawa kwa Masista wa Maria Mtakatifu Malkia wa Afrika (MMMMA), Jimbo Katoliki Sumbawanga.
Adhimisho la Misa Takatifu limefanyika Parokia ya Epiphania Kanisa Kuu Jimboni humo.
Jubilei ya miaka 50
Aliyeadhimisha Misa Takatifu ni Mhashamu, Damian Kyaruzi, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Sumbawan, na aliyepokea nadhiri hizo ni Mheshimiwa Sr, Editruda Mbegu Mama Mkuu wa shirika