HONGERA MASISTA WA MARIA MTAKATIFU MALKIA WA AFRIKA KWA JUBILEI 25,50 NA NADHIRI DAIMA.

katika picha ni Masista wa , Jubilei ya miaka 25 ya Utawa kwa Masista wa Maria Mtakatifu Malkia wa Afrika (MMMMA), Jimbo Katoliki Sumbawanga. Adhimisho la Misa Takatifu limefanyika Parokia ya Epiphania Kanisa Kuu Jimboni humo. Jubilei ya miaka 50 Aliyeadhimisha Misa Takatifu ni Mhashamu, Damian Kyaruzi, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Sumbawan, na aliyepokea…

|

Bikira Maria Mkingiwa Dhambi Asili: Mwombezi wa Tanzania: Uhuru Wananchi!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania liliomba ili Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili aweze kuwa msimamizi wa Tanzania kwa kuipatia familia ya Mungu nafasi ya kumwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa zawadi ya uhuru, siku moja tu, baada ya kuadhimisha Sherehe ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili. Mtakatifu Yohane Paulo II,…

MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO AFANYA ZIARA YA KICHUNGAJI JIMBO KATOLIKI SHINYANGA

Mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dsm, alipowasili Jimbo Katoliki Shinyanga katika ziara za kichungaji, mnamo tarehe 6.12.2023. Katika picha ni baadhi ya waamini wa jimbo katoliki la Shinyanga wakiwa na nyuso za furaha wakimkaribisha Kardinali Pengo katika mipaka ya jimbo hilo

Sherehe ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili: Upendo wa Kiinjili

Na Padre Joseph Luwela – Vatican. Papa Francisko amesema kwamba, tarehe 8 Desemba 2023 Mama Kanisa anaadhimisha Sherehe ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili. Bikira Maria aliamini katika pendo la Mungu na kutoa jibu la “Ndiyo” kwa upendo wa Mungu. Huu ni mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kujifunza kutoka kwa…

SHULE YA SEKONDARI LAELA JIMBO KATOLIKI SUMBAWANGA INAWATANGAZIA WAZAZI NA WALEZI NAFASI ZA MASOMO KATIKA MWAKA MPYA WA MASOMO 2024

Usaili kwa kidato cha kwanza ni tarehe 3_4 January 2024 kutakuwa na mitihani. Kwa wanaohamia mitihani ya usaili ni December 2023 wazazi wa wahi nafasi ni chache, Asante kwa USHIRIKIANO wako, Mungu azidi kukubariki daima.

MASISTA WA MARIA MTAKATIFU MALKIA WA AFRIKA-SUMBAWANGA WAPATA WAPROFESI 16 WAPYA

Tarehe 07.12.2023 mwaka wa Bwana katika nyumba ya malezi parokia ya Chala Katika picha ni Masista 16 wa nadhiri za kwanza wa shirika la Maria Mtakatifu Malkia wa Afrika-Jimbo la Sumbawanga 07.12,2023 Adhimisho la Misa Takatifu limefanyika katika Kanisa la Nyumba ya malezi ya Shirika hilo, iliyopo Parokia ya Mtakatifu Fransisco wa Sales – Chala…

Waraka wa Sinodi ya XVI ya Maaskofu Kwa Watu wa Mungu

Ujenzi wa umoja na ushirika; wongofu wa kichungaji na kimisionari, ili kutangaza Injili ya Kristo inayosimikwa katika huduma; Upendo wa Kanisa unabubujika kutoka katika Ekaristi. Kanisa linahitaji ujenzi wa utamaduni wa kuwasikiliza watoto wake wote hasa wale wanaotengwa na kusukumizwa pembezoni mwa vipaumbele vya jamii; ni mwaliko wa kuwasikiliza waamini walei na familia na hivyo…

Kadinali Protase Rugambwa aweka Historia Jimbo kuu la Tabora

Kadinali Protase Rugambwa aweka Historia Jimbo kuu la Tabora

Kardinali Protase Rugambwa Anaandika Historia ya Jimbo kuu la Tabora, TanzaniaAskofu mkuu Paul Runangaza Ruzoka wa Jimbo kuu la Tabora, Tanzania anaelezea furaha ya watu wa Mungu kwa kuteuliwa na hatimaye kusimikwa kwa Kardinali Protase Rugambwa, historia ya majimbo makuu ya Dar es Salaam na Jimbo kuu la Tabora na kwamba sasa Kardinali Protase Rugambwa…